Mungu Anawachungulia ni wimbo mwingine kutoka kwa vijana Prosperous Sounds; Unapotazama wimbo huu, Mungu akawaangamize adui zako waliokutesa mwaka 2019 na uingie 2020 kwa ushindi mkubwa, AMEN! Directed by Yotham Lyobha
Audio by Slim Yunk
#MunguAnawachungulia #ProsperousSounds #GospelMusic

0 Comments